• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa wa Umoja wa Mataifa apongeza kukamilishwa kwa mfumo wa uongozaji wa mawasiliano ya satelaiti ya "Beidou" wa China

    (GMT+08:00) 2020-06-23 17:46:48
    China imerusha satelaiti ya 55 ya mfumo wa uongozaji wa mawasiliano ya satelaiti ya "Beidou" hii leo, na hadi sasa Mfumo wa uongozaji wa mawasiliano ya satelaiti wa dunia wa Beidou No.3 umekamilika nusu mwaka kabla ya muda uliopangwa.

    Mkurugenzi wa Idara ya anga ya juu ya Umoja wa Mataifa Bi. Simonetta di Dippo amesema, huu ni mnara wa kihistoria, pia ni hatua muhimu kwa mfumo wa usambazaji wa satelaiti wa dunia kutoa huduma za utambuzi wa mahali kwa nchi mbalimbali duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako