• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China aagiza kuendelea na juhudi za kupambana na dawa za kulevya

    (GMT+08:00) 2020-06-23 17:47:14

    Rais Xi Jinping wa China ametoa wito wa kuendelea na msimamo thabiti na mapambano dhidi ya dawa za kulevya ili kupata maendeleo mapya katika kudhibiti dawa hizo.

    Rais Xi ametoa agizo hili muhimu katika hafla iliyofanyika Jumanne ili kutunuku mashirika na watu kwa mchango wao katika kupambana na dawa za kulevya.

    Hafla hiyo imefanyika mjini Beijing kupitia video na televisheni kabla ya Siku ya Kimataifa Mapambano dhidi ya dawa za kulevya na usafirishaji haramu, ambayo inafanyika tarehe 26 Juni kila mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako