• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ripoti ya mwaka 2020 ya nguvu za kijeshi za Marekani katika sehemu ya Asia na Pasifiki yatolewa

    (GMT+08:00) 2020-06-23 18:32:16

    Ripoti ya mwaka 2020 ya nguvu za kijeshi za Marekani katika sehemu ya Asia na Pasifiki imetolewa leo hapa Beijing.

    Ripoti hiyo ni ya tatu kwa taasisi ya utafiti wa Bahari ya Kusini ya China kuhusu mazingira ya usalama wa Asia na Pasifiki baada ya ripoti ya mwaka 2016 ya nguvu za kijeshi za Marekani katika sehemu ya Asia na Pasifiki na ripoti ya mwaka 2018 ya nguvu za kijeshi za Japan.

    Ripoti hiyo ilichunguza kwa msingi wa mabadiliko makubwa ya mkakati wa Marekani wa "kurejesha uwiano wa Asia Pasifik" kuwa "mkakati wa India na Pasifiki", kufuatilia mpango mpya wa kijeshi wa Marekani katika sehemu ya Asia na Pasifiki, na kuchambua kuhusu shughuli mbalimbali za kijeshi za Marekani katika sehemu hiyo hasa katika Bahari ya Kusini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako