• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 17 waokolewa baada ya ajali ya meli katika Mto Lancang

    (GMT+08:00) 2020-06-25 17:07:08

    Meli iliyobeba watu 27 imezama katika sehemu ambayo Mto Lancang na Mto Nanban inakutana wilayani Xishuangbanna.

    Hadi sasa, watu 17 wameokolewa, 9 hawajulikani walipo na mwingine mmoja amefariki. Uchunguzi unaohusika unaendelea.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako