• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Netanyahu akiri "hatua mfululizo" za Israel dhidi ya Iran nchini Syria

    (GMT+08:00) 2020-06-26 08:49:46

    Waziri Mkuu wa Israeli Bw. Benjamin Netanyahu amesema Israel inachukua "hatua mfululizo" dhidi ya Iran nchini Syria, siku mbili baada ya ndege za Israel kudaiwa kufanya shambulizi la anga nchini Syria. Amesema hatua hizo zinalenga juhudi za Iran na washirika wake wa kuingilia kijeshi nchini Syria, na jeshi la Iran lazima liondoke Syria. Ameongeza kuwa hatua za Israel dhidi ya "uvamizi wa Iran" Mashariki ya Kati kwanza ni kwa ajili ya kuilinda Israel. Jeshi la Syria Jumanne usiku lilisema watu wasiopungua sita waliuawa katika shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege lililofanywa na Israeli.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako