• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Umoja wa Mataifa watoa mwito wa kukabiliana na changamoto kubwa kwa mfumo wa pande nyingi

    (GMT+08:00) 2020-06-26 19:18:08

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres jana amesema, katika zama yenye hali ya msukosuko na hatari, jumuiya ya kimataifa inapaswa kutumia mfumo wa pande nyingi katika kukabiliana changamoto zinazomkabili binadamu.

    Bw. Guterres amesema mfumo huo unahitajika kwani unaunganisha mfumo wa Umoja wa Mataifa, mashirika ya kikanda, mashirika ya kifedha ya kimataifa na mashirika mengine. Pia unaleta masikilizano, kutumia vya kutosha mchango unaotolewa na jamii, makampuni, miji na maeneo, hasa kutilia maanani sauti za vijana.

    Bw. Guterres pia ametoa mwito wa kutekeleza mfumo wa pande nyingi kwa ufanisi, ili kufanikisha umuhimu wake katika usimamizi wa dunia.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako