• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Virusi vya Corona vyapatikana Hispania kwenye maji chafu yaliokusanywa Machi mwaka jana

    (GMT+08:00) 2020-06-28 17:00:16

    Chuo Kikuu cha Barcelona Hispania kimetangaza kwamba wachunguzi wa chuo hicho wamegundua virusi vya Corona kwenye maji chafu zilizokusanywa mjini Barcelona mnamo tarehe 12, Machi, mwaka jana.

    Matokeo ya uchunguzi huo yaliyotolewa siku ya Ijumaa yamefuatiliwa na jamii ya kimataifa maana yameonyesha kwamba maambukizi ya virusi vya Corona yanawezekana kutokea mapema mjini Barcelona kabla ya kesi ya kwanza kuripotiwa na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako