• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari wawili wauawa katika shambulizi nchini Algeria

    (GMT+08:00) 2020-06-29 09:14:38

    Wizara ya ulinzi ya Algeria imesema, askari wawili wa jeshi la nchi hiyo wameuawa usiku wa Jumamosi katika shambulizi la mabomu mkoani Media, kaskazini mwa nchi hiyo. Taarifa iliyotolewa na wizara hiyo imesema, wanajeshi hao walikuwa katika operesheni ya kuwasaka magaidi.

    Katika miaka ya karibuni, serikali ya Algeria imeimarisha mapambano dhidi ya ugaidi nchini humo, na kuyafanya makundi ya kigaidi kukimbilia sehemu za mlimani kaskazini mwa nchi hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako