• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ujerumani na Ufaransa zaomba nchi za Umoja wa Ulaya kuunga mkono kuanzisha mfuko wa ufufuaji wa uchumi

    (GMT+08:00) 2020-06-30 09:09:16

    Chansela wa Ujerumani Angela Merkel na rais Emmanuel Macron wa Ufaransa wameomba nchi za Umoja wa Ulaya kuunga mkono hatua ya kuanzisha mfuko unaolenga kusaidia nchi hizo kufufua uchumi. Baada ya mkutano wao uliofanyika jana, Bi. Merkel alisema anatarajia mpango kuhusu mfuko huo ungepitishwa na Umoja wa Ulaya mwezi Julai, huku rais Macron akitaka kuwepo na mshikamano wa nchi za Ulaya. Mfuko huo uliopendekezwa mwezi Mei na Ujerumani na Ufaransa una jumla ya Euro bilioni 500.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako