• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wafungwa wa IS wafanya vurugu jela nchini Syria

    (GMT+08:00) 2020-06-30 09:09:32

    Wafungwa wa kundi la IS wamefanya vurugu katika jela moja linalosimamiwa na kundi la SDF linaloongozwa na Wakurd, mkoani Hasakah, kaskazini mashariki mwa Syria. Katika vurugu hizo zilizoanza jana, wafungwa hao walijaribu kuharibu kuta na geti za jela wakidai haki na kutembelewa na familia zao. Bado hakuna idadi iliyothibitishwa ya vifo wala majeraha. Vurugu kama hiyo ilitokea Mei 3 na kumalizika baada ya mazungumzo kati ya wafungwa na kundi la SDF linaloungwa mkono na Marekani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako