• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mfuko wa Fedha wa Kimataifa kurekebisha makadirio yake 2020 ya kiwango cha ukuaji wa Pato la Taifa cha EAC kutoka asilimia sita hadi asilimia 1.8.

    (GMT+08:00) 2020-06-30 19:15:17

    Biashara za Afrika Mashariki zitabidi zibadilike ili kuendelea baada ya janga la Corona.

    Hii ni Kulingana na uchunguzi uliotolewa na Boston Consulting Group (BCG) maarufu kama East Africa's Rebound, wafanyikazi watalazimika kuzoea ukweli mpya ili kuhakikisha kuwa biashara zinaendelea.

    Ripoti kutoka kwa uchunguzi uliofanywa imesema Corona imekuwa na athari kubwa kiuchumi Afrika Mashariki.

    Mishtuko ya kimataifa na vizuizi vya ndani vinavyolenga kupunguza kuenea kwa virusi vimeathiri vibaya biashara katika sekta zote.

    Hivyo kuilazimu Mfuko wa Fedha wa Kimataifa kurekebisha makadirio yake 2020 ya kiwango cha ukuaji wa Pato la Taifa cha EAC kutoka asilimia sita hadi asilimia 1.8.

    Mkurugenzi Mtendaji wa Ofisi ya BCG Nairobi Mills Schenck amesema kupunguza makali ya Corona itakuwa safari ya kuogofya kwa biashara za Afrika Mashariki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako