• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Bodi ya Benki ya Dunia imeipa Somalia Msaada wa dola milioni 55

    (GMT+08:00) 2020-06-30 19:15:44

    Bodi ya Benki ya Dunia imeipa Somalia ruzuku ya kusaidia katika kurejesha uchumi baada ya nchi hiyo kuvamiwa na nzige, janga la Covid-19 na mafuriko.

    Bodi hiyo, imeidhinisha Msaada wa dola milioni 55 kwa Taifa ya Somalia ili kuweza kufufua uchumi na mageuzi ya sera.

    Msaada huo, pia utasaidia nchi kupambana na athari mbaya ya janga la Corona ambalo limewaacha zaidi ya watu 2,700 wameambukizwa na virusi na zaidi ya 90 wamekufa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako