• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ripoti iliyotolewa na Mdhibiti wa Bajeti (CoB) inaonyesha kuwa serikali za kaunti 47 mwisho mwa mwezi Machi zilitumia Sh49.78 bilioni

  (GMT+08:00) 2020-06-30 19:16:34

  Ripoti iliyotolewa na Mdhibiti wa Bajeti (CoB) inaonyesha kuwa serikali za kaunti 47 mwisho mwa mwezi Machi zilitumia Sh49.78 bilioni au asilimia 39.9 ya Sh198.85 bilioni zilizotengwa kama matumizi ya maendeleo kwa mwaka mzima.

  huku kuzuka kwa corona kukionekana kupunguza shughuli za serikali kote nchini, matumizi si mengi yanayotarajiwa kufanyika katika robo ya mwisho ya mwaka wa fedha unaomalizika leo.

  Hata hivyo Sh191.82 bilioni au asilimia 63.9 ya Sh300 bilioni zilizotengwa kwa matumizi ya kawaida ya 2019/20 tayari imeshatumika.

  Tofauti na hali ya kawaida ambayo hushughulikia gharama za kiutawala, matumizi katika miradi ya maendeleo kama barabara, masoko safi ya mazao, madaraja na shule kuwawezesha wakazi wa kaunti kuboresha mapato yao na maisha.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako