• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uingereza yatangaza mpango wa uwekezaji wa paundi bilioni 5

    (GMT+08:00) 2020-07-01 09:23:14

    Waziri mkuu wa Uingereza Boris Johnson amesema, serikali yake itatenga dola bilioni 6.15 za kimarekani katika ujenzi wa miundombinu, haswa katika hospitali, shule na mawasiliano ili kusaidia kufufua uchumi na kutoa nafasi za ajira ambazo zimeathiriwa vibaya katika janga la COVID-19. Mwezi Aprili pato la taifa la Uingereza lilipungua kwa asilimia 20.4 kuliko mwezi uliopita, na kwa mujibu wa Shirika la Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo la Umoja wa Mataifa, hata kama maambukizi ya virusi vya Corona yasipotokea kwa mara ya pili, ongezeko la uchumi nchini Uingereza litapungua kwa asilimia 11.5 mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako