• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yajiunga kwenye muungano wa kuondoa umaskini wa Umoja wa Mataifa

    (GMT+08:00) 2020-07-01 17:43:02

    Mwenyekiti wa baraza la 74 la Umoja wa Mataifa Tijjani Muhammad-Bande jana aliitisha mkutano kwa njia ya video na kuanzisha muungano wa kuondoa umaskini. China imejiunga kwenye muungano huo ikiwa mwanchama mwanzilishi.

    Mjumbe wa kudumu wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Zhang Jun amehutubia mkutano huo akisema, mlipuko wa virusi vya Corona umeleta changamoto kubwa mpya kwa juhudi za kuondoa umaskini, pande mbalimbali zinapaswa kutumia fursa hii ya kuanzisha muungano wa kuondoa umaskini, kuchukua hatua za pamoja, na kuhimiza mambo ya kupunguaza umaskini wa dunia nzima.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako