• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Kampuni ya bima ya jubilee yanunua hisa zaidi Bujagali

    (GMT+08:00) 2020-07-01 18:14:25

    Kampuni ya bima ya Jubilee Holdings Limited (JHL) imepata hisa za ziada ya asilimia 9.44 katika mradi a kawi wa Bujagali nchini Uganda.

    Sasa hisa za Jubilee kwenye mradi huo zimefikia asilimia18.24 zenye thamani ya dola milioni 40.

    Katika taarifa Jumanne, Mwenyekiti wa kampuni ya Jubilee Nizar Juma alisema uwekezaji ulioongezeka huko Bujagali ni sehemu ya mkakati wa uwekezaji wa kampuni hiyo ambao sasa unafikia dola bilioni 1.11.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako