• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Joe Biden asema kila mtu anapaswa kuvaa barakoa kwenye sehemu zenye watu wengi

    (GMT+08:00) 2020-07-01 18:31:55

    Mgombea wa urais wa Chama cha Democratic cha Marekani ambaye pia ni makamu wa rais wa zamani wa nchi hiyo Bw. Joe Biden alipotoa hotuba jana huko Wilmington kwenye jimbo la Delaware alisema, serikali ya Marekani lazima itoe amri ya kumtaka kila mtu avae barakoa kwenye sehemu zenye watu wengi. Alisema, kuvaa barakoa ni njia mwafaka kabisa ya kupambana na janga la COVID-19.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako