• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Marekani chasisitiza kutumia barakoa kwa kila Mmarekani

    (GMT+08:00) 2020-07-01 18:32:15

    Mkurugenzi wa kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Marekani Bw. Robert Redfield jana alisema, idadi ya wagonjwa waliothibitishwa kuambukizwa virusi vya Corona nchini Marekani inaongezeka kila siku, hivyo kila Mmarekani anapaswa kuvaa barakoa, na kuwasisitiza vijana kufuatilia mapendekezo hayo.

    Bw. Redfiel amesema, wana njia nyingi zinazotumika, zikiwemo kuwepo na umbali kati ya watu, kuvaa barakoa kwenye sehemu zenye watu wengi na kunawa mikono mara kwa mara. Aidha amewanasihi watu kubeba majukumu yao, kuzuia usambazaji wa virusi vya Corona, na kuvaa barakoa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako