• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maofisa wa Marekani wahimizwa kuacha kuingilia kati mambo ya ndani ya China

    (GMT+08:00) 2020-07-02 09:09:19

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Bw. Zhao Lijian amewahimiza maofisa wa Marekani kuacha kuingilia kati mambo ya ndani ya China kwa kisingizio cha suala la Hong Kong, na kutoenda mbali zaidi kwenye njia ya makosa.

    Bw. Zhao amesema hayo jana kwenye mkutano na waandishi wa habari alipojibu taarifa ya baadhi ya maofisa wa Marekani juu ya Sheria ya usalama wa kitaifa ya China kuhusu Hongkong. Amesema serikali ya China italinda imara mamlaka ya taifa, usalama na maslahi ya maendeleo, kushikilia sera ya "Nchi Moja, Mifumo Miwili", na kupinga uingiliaji wowote kutoka nje kwenye mambo ya Hongkong.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako