• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuboresha mazingira ya kibiashara ili kukuza soko

    (GMT+08:00) 2020-07-10 09:16:17

    China itaweka sera kuhakikisha huduma bora zinatolewa kwa wadau wa soko na kuhimiza zaidi ajira na ujasiriamali, ili kuboresha mazingira ya kibiashara na kuwawezesha wadau wa soko.

    Mwongozo uliotolewa kwenye Mkutano wa Baraza la Serikali ya China uliofanyika jumatano, unalenga kuhakikisha sera za kifedha na uhakikisho wa kijamii zinatekelezwa ili kuyaunga mkono mashirika ya kibiashara zaidi ya milioni 100 sokoni, na kuanza mageuzi kwa ajili ya kujenga mazingira ya kibiashara yanayozingatia mahitaji ya soko, ambayo yanasimamiwa kwa mujibu wa mfumo kamili wa sheria, ili kutilia nguvu uhai wa soko.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako