• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waraka wa ulinzi wa usalama wa Japan wa mwaka 2020 waonesha msimamo wenye upendeleo dhidi ya China

    (GMT+08:00) 2020-07-15 09:29:22

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya China Bw. Zhao Lijian amesema, Waraka wa ulinzi wa usalama wa Japan wa mwaka 2020 unahusisha mambo mengi yasiyo halisi na ya upendeleo dhidi ya China, na kusisitiza kuwa China inafuata sera ya kidiplomasia ya kusikilizana na majirani, na ni mlinzi, ujenzi na mchangiaji wa amani, utulivu na ustawi wa dunia. Waraka uliotolewa jana na Serikali ya Japan unasema China inataka kubadilisha hali ya sasa kwenye Bahari ya Mashariki na ya Kusini kwa upande wake kipekee, na kutafuta kujenga vituo vya kijeshi nje ya nchi kupitia "Ukanda Mmoja, Njia moja".

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako