• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaitaka Marekani kusimamisha hatua yeyote ya kuingilia mambo ya ndani ya China yakiwemo mambo ya Hongkong

    (GMT+08:00) 2020-07-15 14:48:48

    Wizra ya mambo ya nje ya China leo imetoa taarifa na kuitaka Marekani kusahihisha makosa yake, kutotekeleza sheria ya kujitawala ya Hongkong, na kusimamisha hatua yeyote ya kuingilia mambo ya ndani ya China yakiwemo mambo ya Hongkong. Taarifa hiyo imesisitiza kuwa, kama Marekani itashikilia kutekeleza sheria hiyo, basi hakika China itachukua hatua za kujibu.

    Taarifa hiyo inasema sheria hiyo ya Marekani inadharau kutunga sheria ya usalama wa taifa ya Hongkong na kutishia kuiwekea vikwazo China, imekwenda kinyume cha sheria ya kimataifa na kanuni za kimsingi ya uhusiano wa kimataifa, ni uingiliaji mbaya wa mambo ya Hongkong na mambo ya China, na serikali ya China inapinga kithabiti.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako