• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Nchi za Afrika Mashariki zimeanza kupunguza msongamano wa bidhaa kwenye mpaka baada ya kutolewa kwa mfumo wa kielektroniki.

  (GMT+08:00) 2020-07-21 20:01:28

  Nchi za Afrika Mashariki zimeanza kupunguza msongamano wa bidhaa kwenye mpaka baada ya kutolewa kwa mfumo ambao utarahisisha kuonekana kwa vipimo vya corona vya madereva wa lori kwa njia ya kielektroniki.

  kuthibitisha vyeti vya vipimo vya madereva wa lori kwa njia ya makaratasi imelaumiwa kwa ucheleweshaji ambayo wakati mwingine uchukua wiki nzima.

  Mfumo wa EAC wa elektroniki wa kubeba mizigo na Ufuatiliaji wa Madereva, hata hivyo, utawawezesha mamlaka kugawana matokeo ya madereva na wafanyakazi katika idara ya habari ilikurahisisha uingiaji na utokaji katika mipaka.

  Kulingana na ilani ya idara ya EAC kwa wizara husika za kutoka nchi hizo, madereva wote lazima wa weke vyeti vyao vya Covid-19 kwa mfumo mpya kabla ya kuondoka.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako