• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Taliban kusitisha mapambano sikukuu ya Eid baada ya serikali ya Afghanistan kuwachia huru wafungwa wa Taliban

    (GMT+08:00) 2020-07-29 09:51:34

    Rais Mohammad Ashraf Ghani wa Afghanistan amesema kuwa serikali ya nchi hiyo itawaachia huru wafungwa 600 wa Taliban ili kuweka mazingira kwa ajili ya mazungumzo ya amani ya ndani ya Afghanistan yaliyoahirishwa kwa muda mrefu.

    Ili kuonyesha dhamira ya kutafuta amani, serikali ya Afghanistan itakamilisha mpango wa kuwaachia huru wafungwa 5,000 wa Taliban ikiwa sehemu ya kubadilishana wafungwa wa Jeshi la Ulinzi na Usalama la Kitaifa la Afghanistan ANDSF.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako