• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Chombo cha anga za juu cha Tianwen-1 chapiga picha ya Dunia na Mwezi

    (GMT+08:00) 2020-07-29 09:52:15

    Mamlaka ya anga za juu ya China imesema, chombo cha anga za juu cha Tianwen-1 kimepiga picha za Dunia na Mwezi, kilomita milioni 1.2 kutoka Dunia.

    Kwenye picha ya nyeusi kwa nyeupe, Dunia na Mwezi zote zina umbo wa mwezi mwandamo, zikitazamana kwenye ulimwengu mkubwa.

    China ilizindua safari ya Tianwen-1 ya kuchunguza Mars tarehe 23 Julai, ambayo ni hatua ya kwanza kwa China katika uchunguzi wa sayari kwenye mfumo wa jua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako