• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Hatua za zuio za kukabiliana na COVID-19 zilizochukuliwa na nchi mbalimbali zafanya idadi ya watalii katika nje ya nchi kupungua kwa asilimia 98 mwezi Mei

    (GMT+08:00) 2020-07-29 09:54:19
    Hatua za zuio za kukabiliana na COVID-19 zilizochukuliwa na nchi mbalimbali zimefanya idadi ya watalii katika nje ya nchi kupungua kwa asilimia 98 mwezi Mei

    Ripoti iliyotolewa na Shirika la Utalii la Umoja wa Mataifa UNWTO zimeonesha kuwa, hatua za zuio za kukabiliana na COVID-19 zilizochukuliwa na nchi mbalimbali zimefanya idadi ya watalii katika nje ya nchi kupungua kwa asilimia 98 mwezi Mei. Katika miezi mitano ya mwanzo mwaka huu, idadi hiyo imepungua kwa milioni 300, kiasi ambacho ni asilimia 56, na kuleta hasara ya kiuchumi dola za Kimarekani bilioni 322, ikiwa ni zaidi ya mara tatu kuliko wakati wa msukosuko wa fedha duniani mwaka 2009.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako