• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Fainali ya Kombe la FA la Tanzania ni Jumapili, Agosti 2.

    (GMT+08:00) 2020-07-29 18:18:04

    Klabu ya Namungo ambayo ilipanda daraja na kucheza Ligi Kuu ya Tanzania msimu huu, waliifunga Sahare All-Stars bao 1-0 katika mechi nne zilizopita. Katika mchezo mwingine wa nusu fainali, baada ya Simba kuwanyoa ndevu 4 kwa 1 watani wao Yanga. Pamoja na kuwa Simba tayari wametangazwa kuwa mabingwa na kuhakikishwai kushiriki Kombe la Caf, kufikia fainali ya Kombe la FA moja kwa moja kwa timu ya Namungo ni mafanikio ambayo si ya kubeza. Kocha wa Namungo Thiery Hitimana amesema kuwa anajua Simba ni timu kubwa na tayari ni bingwa lakini mechi ya jumapili ni ya kufa na kupona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako