• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ethiopia: Ethiopia yaanza kuzalisha magari ya umeme

    (GMT+08:00) 2020-07-29 19:23:51

    Kampuni ya kutengeneza magari ya Hyundai kutoka Korea Kusini kwa kushirikiana na mwanariadha Haile Gebrselassie imezindua gari la kwanza linalotumia umeme asilimia 100 nchini Ethiopia.

    Gari hilo limeunganishiwa nchini humo nan i sehemu ya juhudi za nchi hiyo za kupunguza uchafuzi wa hewa.

    Limeunganishiwa kwenye eneo la kiviwanda la Sheger na Entoto ambalo lina uwezo wa kuzalisha magari 10,000 kwa mwaka.

    Mwaka jana, Ethiopia ilipanda miti bilioni tatu kama sehemu ya mpango wa uboreshaji wa hali ya hewa na mwaka huu imepanga miti bilioni nne.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako