• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani yapanga kuwaondoa askari elfu 12 nchini Ujerumani

    (GMT+08:00) 2020-07-30 09:25:10

    Waziri wa Ulinzi wa Marekani Bw. Mark T. Esper amesema, Marekani inapanga kuwaondoa askari elfu 12 nchini Ujerumani na kuwapanga upya, hatua ambayo itapunguza idadi ya askari wa jeshi la Marekani nchini humo kutoka elfu 36 hadi elfu 24.

    Bw. Esper amesema hatua hiyo itachangia katika kuinua uwezo wa NATO na kuongeza uwezo wake wa kuitishia Russia. Mpango huo utaanza kutekelezwa ndani ya wiki kadhaa zijazo, na kugharamia dola za kimarekani bilioni kadhaa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako