• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mwakilishi wa China aitaka Marekani iondoe mara moja vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Syria

    (GMT+08:00) 2020-07-30 19:07:39

    Mwakilishi wa kudumu wa China kwenye Umoja wa Mataifa Balozi Zhang Jun katika mkutano wa Baraza la usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu hali ya kibinadamu nchini Syria uliofanyika kwa njia ya video, alikana kauli za Marekani zizisowajibika na kuitaka Marekani iache kulifanya suala la kibinadamu kuwa la kisiasa, na kuondoa mara moja vikwazo vya upande mmoja dhidi ya Syria.

    Balozi Zhang aliainisha kuwa China siku zote ina msimamo wa kuwajibika na kiujenzi juu ya suala la kibinadamu nchini Syria, na Marekani ndio ni upande unaotakiwa kujitafakari. Amesema hivi karibuni Marekani ilipiga kura ya turufu mara sita dhidi ya mswada wa azimio na mswada wa marekebisho kuhusu utaratibu wa kutoa misaada ya kibinadamu nchini Syria kwa kuvuka mipaka, hatua ambayo imezizuia pande mbalimbali kupunguza tofauti zao na kutafuta suluhu ya pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako