• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Askari wanane wa Marekani waliopotea kwenye mazoezi waaminika kufa

    (GMT+08:00) 2020-08-03 08:44:01

    Askari wanane wa Marekani waliopotea kwenye ajali iliyotokea kwenye mazoezi ya baharini wanaaminika kuwa wamekufa, baada ya operesheni za utafutaji na uokoaji za masaa 40 nje ya pwani ya California, kumalizika. Jeshi la Marekani limesema kazi ya sasa ni kutafuta miili ya wanajeshi hao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako