• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya vifo kutokana na tukio la unywaji pombe bandia Punjab India yafikia 98

    (GMT+08:00) 2020-08-03 09:07:16

    Ofisa wa serikali ya jimbo la Punjab nchini India amesema kuanzia tarehe 29 mwezi Julai idadi ya watu waliokufa kutokana na kunywa pombe bandia katika jimbo hilo imefikia 98.

    Ofisa huyo amesema tukio hilo ni la aibu na maofisa 7 wa idara ya kodi na maofisa 6 wa polisi wamesimamishwa kazi. Serikali ya jimbo hilo imetangaza kutoa Rupia laki 2 (sawa na dola 2,670 za Marekani) kwa kila familia ya wafiwa kama fidia. Inasemekana kuwa polisi wamewakamata watu 25 wanaoshukiwa kuhusika na tukio hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako