• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yaanzisha hatua ya mwanzo ya mfumo wa sera ya kushughulikia mambo ya vijiji

    (GMT+08:00) 2020-08-03 17:38:45

    China imeanza hatua ya mwanzo ya mfumo wa sera ya kushughulikia mambo ya vijiji.

    Mwaka jana, majaribio ya ujenzi wa mfumo huo yalianzishwa katika wilaya 115 kote nchini, na sehemu mbalimbali zilifanya juhudi kutafuta njia mpya ya kushughulikia mambo ya vijijini na kupata maendeleo mazuri.

    Habari zinasema, usimamizi kwa kuhesabu namba kamili unatumiwa kwa vijiji vingi zaidi, ambapo mambo yanayofuatiliwa zaidi na wanavijiji na mambo muhimu zaidi ya vijiji yanapimwa kwa kutumia namba kamili, na wanavijiji wanaopata namba nyingi zaidi watazawadiwa, hatua ambayo imeongeza ufanisi wa usimamizi wa mambo ya vijijini.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako