• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WHO kuzindua shindano la barakoa baadaye wiki hii

    (GMT+08:00) 2020-08-03 19:48:22

    Shirika la Afya Duniani (WHO) na washirika wake wa kimataifa linatarajia kuzindua shindano la uvaaji wa barakoa ili kuwashawishi watu kutuma picha zao wakiwa wamevaa barakoa.

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Dr. Tedros Ghebreyesus amesema katika mkutano uliofanyika kwa njia ya video mjini Geneva, kuwa licha ya kubeba kiambukuzi (sanitizer), anabeba barakoa muda wote na anaitumia anapokuwa kwenye mkusanyiko wa watu.

    Amesema barakoa inawakilisha mshikamano, na pia ni moja ya vifaa muhimu vya kudhibiti virusi vya Corona.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako