• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uchaguzi wa Baraza la kutunga sheria la Hongkong haupaswi kuingiliwa na serikali za nchi nyingine

    (GMT+08:00) 2020-08-03 19:49:13

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nje ya China Bw. Wang Wenbin leo amesisitiza kuwa, Hongkong ni mkoa wenye utawala maalumu wa China, na uchaguzi wa Baraza la kutunga sheria la mkoa huo ni mambo ya ndani ya Hongkong.

    Habari zinasema, kutokana na kuathiriwa vibaya na virusi vya Corona, kiongozi wa mkoa wa Hongkong Bibi Carrie Lam ametangaza kuahirisha uchaguzi wa Baraza la 7 la kutunga sheria la Hongkong uliopangwa kufanyika tarehe 6 Septemba kwa mwaka mmoja, jambo linalofuatiliwa na baadhi ya nchi. Akijibu maswali kuhusu suala hilo, Bw. Wang Wenbin amesisitiza kuwa, nchi mbalimbali ziliwahi kuahirisha uchaguzi kutokana na maafa, na uamuzi huo wa serikali ya Hongkong unalingana na hali iliyopo kwa sasa, na umetolewa kwa kuendana na hali hiyo na kufuata sheria.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako