• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Hifadhi za kitaifa za wanyama pori nchini Afrika Kusini zafungua baadhi ya huduma

  (GMT+08:00) 2020-08-05 18:47:37
  Shirika la hifadhi za kitaifa za wanyama pori nchini Afrika Kusini limesema watalii wataruhusiwa kulala kwenye hoteli na kuendesha magari kwenye hifadhi hizo.

  Hii inafuatia tangazo la wiki iliyopita la Waziri wa Utalii Mmamoloko Kubayi-Ngubane la kuruhusu ziara za ndani za kitalii baina ya mikoa.

  Hifadhi za kitaifa za Afrika Kusini zilifungwa mnamo Machi wakati serikali ikianzisha ufungaji ili kuthibiti virusi vya COVID-19.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako