• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • China yashikilia kuhimiza ujenzi wa Jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa pamoja

  (GMT+08:00) 2020-08-05 21:44:23

  Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi ameeleza kuwa, hivi sasa changamoto inayokabili utaratibu wa kimataifa ni kuwa, Marekani ikiwa nchi yenye uwezo mkubwa zaidi duniani, inatekeleza utaratibu wa upande mmoja na umwamba, huku ikiacha majukumu yake ya kimataifa na kanuni za pande nyingi, hatua ambazo zimeharibu vibaya utaratibu wa kimataifa.

  Amesema rais Xi Jinping wa China ametoa pendekezo muhimu la kujenga Jumuiya ya binadamu yenye mustakabali wa paoja, na China itafanya juhudi bila ya kusita kwa ajili ya kutimiza lengo hilo.Pia amesisitiza kuwa China siku zote ni mlinzi wa utaratibu wa kimataifa.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako