• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • CRICKET: Timu ya cricket ya Simba Kings kuchuana na Buffalo Blasters katika ufunguzi wa Ligi ya mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2020-08-07 15:30:31

    Uwanja wa Klabu ya Dar es Salaam Gymkhana utakusanya mashabiki wa mchezo wa cricket katika mji huo baada ya kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa MWendeleo wa Ligi ya Cricket mwaka 2020 (APL) siku ya jumamosi ambapo mechi ya ufunguzi itakuwa kati ya Simba Kings na Buffalo Blasters. Shindano hilo lililoandaliwa na Shirikisho la Cricket Tanzania (TCA) ambalo litakamilika jumapili ijayo, linafanyika kwa lengo la kuongeza ujuzi wa mchezo huo katika ngazi ya kitaifa. Ofisa habari wa TCA Atif Salim amesema, mashindano ya msimu huu yatahusisha wachezaji wa ndani pekee, tofauti na mashindano yaliyopita ambapo wachezaji kutoka nje ya nchi walishiriki.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako