• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China kuanzisha mfumo wa uchumi wa kuhimizana kwa mzunguko wa ndani na wa kimataifa

    (GMT+08:00) 2020-08-07 19:04:21

    Mkutano wa Ofisi ya mambo ya kisiasa ya China uliofanyika hivi karibuni umeeleza kuwa, umetafiti hali ya hivi sasa ya uchumi nchini China, na kuweka kazi ya mambo ya uchumi katika nusu ya pili mwaka huu.

    Mkutano huo umeeleza kuwa, hivi sasa China inakabiliwa na hali ya utatanishi wa kiuchumi, huku hali isiyotarajiwa ikiongezeka, na kwamba inapaswa kuunda muundo mpya wa maendeleo unaofuata mfumo wa kuongoza wa mzunguko wa ndani, pamoja na mfumo wa kuhimizana kati ya mzunguko wa ndani na wa kimataifa. Wataalamu wanaona kuwa, hatua hii itahimiza uchumi wa China kupambana na changamoto mpya na kutimiza maendeleo mapya zaidi katika siku za baadaye.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako