• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Idadi ya kesi za COVID-19 barani Afrika yazidi milioni 1

    (GMT+08:00) 2020-08-07 19:25:28

    Kituo cha Kinga na Udhibiti wa Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimesema hadi kufikia leo, idadi ya maambukizi ya virusi vya Corona yaliyothibitishwa barani Afrika imefikia 1,007,366, idadi ya vifo kutokana na virusi hivyo imefikia 22,066, na watu 690,436 walioambukizwa wameshapona.

    Takwimu kutoka Africa CDC pia imesema, mlipuko huo umetokea katika nchi zote 54 za Afrika, na Afrika Kusini, Misri, Nigeria, na Ghana zimeathirika zaidi na virusi hivyo.

    Nchi 13 za Afrika zimekuwa na kesi zaidi ya elfu 10 za virusi hivyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako