• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 118 wauawa katika mapambano kati ya watu wenye silaha na jeshi la serikali nchini Sudan Kusini

    (GMT+08:00) 2020-08-12 09:17:05

    Watu zaidi ya 118 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapambano kati ya watu wenye silaha na jeshi la serikali katika eneo la Tonj la jimbo la Warrap, nchini Sudan Kusini.

    Jana, jeshi la serikali ya Sudan Kusini lilianza zoezi la kukamata silaha zisozo halali, lakini kijana mmoja aliyekuwa na silaha alijaribu kutoroka, jambo lilisababisha mapigano kati ya watu wenye silaha na jeshi hilo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako