• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 19 wauawa katika majibizano ya risasi gerezani mjini Mogadishu, Somalia

    (GMT+08:00) 2020-08-12 09:17:30

    Wafungwa 15 na askari 4 wameuawa katika majibizano ya risasi katika gereza moja mjini Mogadishu, Somalia.

    Jeshi la Magereza limesema, wafungwa wa kundi la Al Shabaab waliwashambulia kwa risasi walinzi wa gereza na kusababisha vifo vya watu 19 na wengine 8 kujeruhiwa.

    Seirkali ya Somalia imeanza kuchunguza tukio hilo hasa jinsi ya wafungwa hao walivyopata silaha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako