• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Somalia kufungua shule wakati ikikabiliana na janga la COVID-19

    (GMT+08:00) 2020-08-13 09:39:45

    Serikali ya Somalia imesema itafungua tena shule za msingi na sekondari Jumamosi, ambazo zilifungwa kwa miezi minne kutokana na janga la COVID-19. Waziri wa elimu wa nchi hiyo Godah Barre amesema, serikali imeweka hatua muhimu za kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona ikiwemo kuwataka wanafunzi wote wavae barakoa, ili kuhakikisha masomo yanaendelea vizuri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako