• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapiganaji kadhaa wa Boko Haram wauawa katika shambulizi la anga nchini Nigeria

    (GMT+08:00) 2020-08-13 09:40:02

    Wapiganaji kadhaa wa kundi la Boko Haram wameuawa katika shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la serikali la Nigeria katika jimbo la kaskazini mashariki la Borno. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na jeshi hilo, vifaa vya ugavi vya kundi hilo pia viliteketezwa katika eneo la Gulumba Gana-Kumshe kwenye jimbo hilo. Tangu mwaka 2009, kundi la Boko Haram limekuwa likijaribu kuunda serikali ya Kiisilamu kaskazini mashariki mwa Nigeria, na kuongeza mashambulizi yake katika nchi zilizoko katika Bonde la Ziwa Chad.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako