• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Jeshi la Somalia lawaua wapiganaji 16 wa al-Shabab kwenye mkoa wa kati

    (GMT+08:00) 2020-08-13 19:20:32

    Kamanda wa Jeshi la kitaifa la Somalia SNA Isma'il Malin amesema, jeshi hilo limewaua wapiganaji 16 wa kundi la al-Shabab na kuwajeruhi wengine 20 katika mapambano makali kwenye mji wa Ba'adweyn uliopo mkoa wa kati wa Mudug.

    Malin ameongeza kuwa jeshi la SNA limewafukuza wapiganaji nje ya mji na kuwasaka wale waliosalia ambao walikimbilia kwenye msitu wa mji wa Ba'adweyn.

    Wakazi wa huko walisema, wapiganaji wa al-Shabab walitaka kujenga ngome mpya kwenye kijiji cha Shabellow, lakini wenyeji wa huko walipinga hatua hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako