• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mechi za klabu bingwa Ulaya zinaendelea tena, leo ni PSG na RB Leipzig

    (GMT+08:00) 2020-08-18 19:18:47

    Leo mechi za Klabu bingwa barani Ulaya zinaendelea tena kuwa kuzikutanisha Paris Saint Germain na RB Leipzig. Hii ni mechi ya kwanza ya nusu fainali, ambayo mwaka huu inaonekana kuzikutanisha timu za ufaransa na zile zinazotumia lugha ya kijerumani. Kesho kutakuwa na mechi kati ya Bayern Munich ya Ujerumani na Lyon ya Ufaransa. Ingawa kwenye mchezo wa leo PSGF wanapigiwa upatu zaidi kutokana na kuwa na nyota wakali kama Kylian Mbape na Neymar, lolote linaweza kutokea kwani RB Leipzig sio timu nyepesi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako