• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Dulla Mbabe na Twaha Kiduku kupambana mwishoni mwa mwezi huu

    (GMT+08:00) 2020-08-19 16:59:25

    Pambano kati ya Twaha Kiduku na Dulla Mbabe kuwania ubingwa wa Taifa wa uzito wa Kati (Super Middle), ambalo litakuwa la raundi 12, litaanza kwa kukaribishwa na bondia aliye katika kiwango cha juu nchini Tanzania, Ibrahim Classic atakapopanda ulingoni kuvaanana Nassib Ramadhan. Mabondia hao watapambana Agosti 28, mwaka huu katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, na tayari maandalizi yamekamilika kwa mujibu wa mratibu wa pambano hilo, Jay Msangi.

    Msangi amesema siku hiyo kutakuwa na mapambano sita ya utangulizi sita; ikiwa ni pamoja na ya kina dada Halima Vunjabei dhidi ya Agness Kayanje.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako