• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Kocha msaidizi wa Arsenal aondoka Emirates

    (GMT+08:00) 2020-08-24 16:23:11

    Mkufunzi msaidizi raia wa Sweden, Freddie Ljungberg ametangaza kuondoka Arsenal akiwa na matumaini ya kujipatia mkataba wa kudumu. Freddie alitangaza kuondoka kwake kupitia taarifa kwenye mtandao jamii huku akishukuru Arsenal kwa kumpa nafasi ya kuwanoa. Ljungberg alikuwa kati ya wachezaji wakali wa Arsenal chini ya uongozi wa kocha wa zamani Arsene Wenger na alikuwa kwenye kikosi cha Gunners ambacho kilimaliza msimu bila ushindi. Hata hivyo, alishindwa kuleta tofauti katika wadhifa huo na kulazimu klabu hicho kumteua Mikel Arteta kuwa kocha mkuu. Ljungberg anakumbukwa kwa kuwa kifaa bora cha Arsenal pamoja na Bukayo Saka, Joe Willock na Reiss Nelson.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako