• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni

  (GMT+08:00) 2020-08-25 20:16:20
  Sudan Kusini imeishiwa na akiba ya fedha za kigeni kwani mapato ya mafuta yamepungua, na haiwezi kuzuia sarafu yake kushuka, afisa wa benki kuu amesema.

  Daniel Kech Pouch, gavana wa benki Kuu, amesema kwamba pauni ilikuwa ilishuka kwa kasi hadi ikakuwa ngumu kwa washauri wa fedha kuzuia kushuka huko.

  Aidha meendlea kusema ni vigumu kwao sasa kusitiza viwango vya kasi vya ubadilishaji( kushuka) wakati kwa sababu hakuna akiba kwenye soko.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako