• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • BASKETBALL: NBA yamkumbuka Kobe Bryant

    (GMT+08:00) 2020-08-26 15:54:19

    LeBron James alifunga alama 30 akiiongoza Los Angeles Lakers, na kuibuka na ushindi wa alama 135-115 dhidi ya Portland Trail Blazers katika mchezo wa mtoano ligi ya mpira wa kikapu nchini Marekani. Mchezo huo uliopigwa katika siku maalum ambayo NBA ilikuwa ikimkumbuka mchezaji maarufu wa LA Lakers Kobe Bryant ambaye alifariki mwezi Januari mwaka huu kwenye ajali ya helikopta iliyotokea Jijini Calfornia. Katika mchezo huo Lebron alitoa assists na rebound 6,pia Antony Davis alifunga alama 18,na sasa wanaongoza 3-1 kwenye mfululizo wa michezo ya mtoano. Agosti 23, ilikua ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa kwa Bryant na endapo angekua hai, angekua anatimiza umri wa miaka 42.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako